Surprise Me!

Rais Magufuli aondoa zuio la kujengwa kwa msikiti S'wanga

2018-03-06 2 Dailymotion

Rais Dk. John Magufuli ameruhusu waumini wa dini ya Kiislamu kuendelea na ujenzi wa msikiti wao, ambao awali ujenzi wake ulipigwa ulizuiwa kutokana na Kutopata kibali kutoka Wizara ya ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.