Surprise Me!

Rais MAGUFULI, Mtakaoandamana Nitakachowafanya Lazima Mkawasimulie Baba Zenu

2018-03-10 4 Dailymotion

Rais MAGUFULI amewataka Watanzania kutokubali kutumiwa katika vitendo vya uvunjifu wa amani ambavyo vinaweza kusababisha machafuko kama yaliyotokea kwa nchi jirani na nyingine duniani, na ameonya kuwa vyombo vya dola havitawavumilia watakaothubutu kuvunja sheria na kuleta vurugu.