Khadija Kopa afunguka mimba alizotoa na sababu zake
2018-03-22 15 Dailymotion
Malkia wa muziki wa Taarab Afrika Mashariki na kati kama anavyojiita mwenyewe, Khadija Omar Kopa, ameweka wazi juu ya tukio lake alilowahi kufanya wakati yupo kijana la kutoa mimba,