Katibu mkuu wa chama cha wananchi CUF Leo march 24, amefanya Ziara Ya Kutembelea Matawai Ya Chama cha CUF" Na Kuangalia Wagonjwa Maeneo ya Tandandale, Kabla Ya Kushiriki Kongamano La La Kutathmini Uhai wa chama Cha CUF" Kongamano Hilo Limefanyika Katika Ukumbi wa Madiba Hotel"Tandale Sokoni"
SUBSCRIBE......
Tembelea Website Yetu.....
Facebook......
Twitter......