Nahodha John Bocco ndiye aliyekuwa shujaa wa Simba SC kwenye mechi dhidi ya Njombe Mji kwenye uwanja wa Sabasaba. Na haya hapa ndio mabao yake.