Surprise Me!

Siri yafichuka mkanganyiko kifo cha Mtoto Patrick, baba afunguka mazito, kisa milioni 15

2018-07-05 11 Dailymotion

Baba mzazi wa marehemu Patrick anaeishi Mwananyama kwa Mwakibile leo Julai 4 amefunguka kuhusiana na sakata la mkanganyiko unaojitokeza kuhusiana na mtoto huyo ambapo amedai kuwa Muna Love ambae mama wa Patrick ndio chanzo cha yote na kutoa kauli kuhusu jambo hilo.