Maelfu ya wombolezaji wamejitokeza katika maziko ya aliyekuwa Msanii maarufu katika Ukanda wa Afrika Mashariki Amri Athumani aliyetambulika kwa jina la Usanii la King Majuto yaliyofanyika Mkoani Tanga.