Leo Tarehe 8/8/2018 Muigizaji Mkongwe Mzee Majuto Amefariki Dunia,, Na hiki ni Moja ya Kipande cha Muvi aliyowahi Kufanya. Mungu Ailaze Mahali Pema Roho ya Mzee Majuto.