Surprise Me!

MAU MPEMBA CAPTAIN WA NDEGE -VITUKO PEMBA

2018-09-03 27 Dailymotion

Mau Mpemba akiwa hewani na ndege yake kulekea mjini Unguja, yaliomfika akiwa angani angalia video hii


MAU MPEMBA NA SAPNA

#MauMpemba #VitukoVyaPemba #AssalaamAir


Kuhusu sisi:
ZMOTION STUDIOS inajihusisha na utengenezaji wa filamu za kiswahili, matangazo, na video fupi za vichekesho na vituko mbali mbali. Ukijiunga na chanali yetu kwa kubonyeza 'Subscribe' utakua miongoni mwa wanaopokea ujumbe wa barua pepe kila tunapoweka video mpya, pia utapata fursa ya kujishindia zawadi ya mwaka ukiwa utakua mfatiliaji mzuri unae 'share', 'like' na kukoment katika video zetu.

Ili kutoa maoni yako na kujua video gani ipo katika maandalizi kwa sasa, usikose kufutailia ukurasa wetu wa facebook link hapo chini
KUTANA WA WASANII WANAOKUJA KWA KASI KATIKA VICHEKESHO
-Mau Mpemba
-Makame Nuhusi