Simba wamelia na bodi ya ligi kuipangia ratiba yanga mfululizo katika uwanja wa Taifa kwa micheo 11 .Afisa habari wa Simba Haji Manara amesema Simba hawatalalamika. #Simba,#Yanga,#Ligikuu,