Surprise Me!

HUZUNI KWA TAIFA KUZAMA KWA MV NYERERE

2018-09-21 4 Dailymotion

Ni ukweli usiopingika kuwa kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere jana mchana kumekumbusha machungu ya kuzama kwa meli ya MV Bukoba mwaka 1996 na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 800.