Surprise Me!

Hiki ndio Chanzo cha Wabunge Chadema Kukimbilia CCM ''Halima Mdee

2018-10-05 6 Dailymotion

Mbunge wa Kawe (CHADEMA), Halima Mdee amefunguka kuwa kinachopelekea wabunge wa chama chake kuhamia CCM ni tamaa zinazowaingia pindi wanapopewa dhamana na wananchi ya kuwatumikia na kudhani kwamba ubunge ni chanzo cha utajiri.