Nabii ayetabiri Mo Dewji ataachiwa afunguka "Mo hakutekwa"
2018-10-21 3 Dailymotion
Nabii kijana Daniel Shillah amefunguka baada ya utabiri wake kutimia ambao aliutoa siku chache zilipita kwa Mfanyabiashara Mo Dewji ambaye alitekwa na watu wasiojuliakana kwamba angepatikana wiki hii kabla ya Jumapili.