Surprise Me!

Wakaazi Wa Eastleigh Wanalalamikia Ubomozi Wa Vibanda Pamoja Na Ukuta

2021-04-30 4 Dailymotion

Wakaazi Wa Eastleigh Hapa Jijini Nairobi Wanalalamikia Ubomozi Wa Vibanda Pamoja Na Ukuta Ulioko Katika Mtaa Wa Ushirika Uliotekelezwa Na Bwenyenye Mmoja Ambaye Anadaiwa Kununua Ardhi Hiyo.