Serikali Ya Kaunti Ya Kisii Imeanza Shuhuli Ya Usajili Wa Wakulima Wa Kahawa Kupitia Njia Ya Kieletroniki Kukabiliana Na Tishio Liliopo La Udanganyifu Katika Ukulima Lililoacha Wakulima Wengi Wakihesabu Hasara. Kupitia Usajili Huo Utawawezesha Kujua Idadi Ya Wakulima Wa Kahawa Miti Ya Kahawa Na Hata Mahala Wakulima Hao Wanapoishi.