Hii Leo Ni Siku Ya Tatu Ya Ziara Ya Naibu Rais William Ruto Kaunti Ya Kilifi Alikokita Kambi Kupigia Debe Sera Zake Anazosema Ni Za Kubdili Mustakabali Wa Taifa.