Surprise Me!

Wakaazi Wa Samburu Walaumu Serikali Kwa Ukosefu Wa Usalama

2021-07-21 0 Dailymotion

Baadhi Ya Watu Kutoka Kaunti Ya Samburu Wameinyoshoea Serikali Kidole Cha Lawama Kufuatia Ongezeko La Mauaji Na Ukosefu Wa Usalama. Wamedai Kuwa Serikali Haijawajibika Kuhakikisha Usalama Umedumu Katika Eneo Hilo. Haya Yanajiri Kufuatia Mauaji Ya Watu Wanne Na Wanaodaiwa Kuwa Wezi Wa Ng'ombe. Hata Hivyo Serikali Imedai Kuwa Inaendeleza Mchakato Wa Kuimarisha Usalama Na Kuanzisha Msako Wa Wahalifu Hao.