Surprise Me!

Washukiwa Wa Wizi Washambuliwa Na Nyuki Huko Eldoret

2021-09-13 22 Dailymotion

Sarakasi Imeshuhudiwa Katika Eneo La Langas Mjini Eldoret Baada Ya Washukiwa Wawili Wa Wizi Ambao Waliiba Boda Boda Kushambuliwa Na Kundi La Nyuki Lililomlazimisha Mmoja Wao Kurudisha Bodaboda Kwa Mmiliki.