Taharuki Yatanda Eastleigh Baada Ya Tishio La Bomu
2021-09-23 6 Dailymotion
Kulizuka Kizaazaa Katika Eneo La Eastleigh Mchana Wa Leo Baada Ya Watu Wasiojulikana Kuweka Vijikaratasi Katika Jingo La Yale Plaza Vilivyosema Kuwa Kulikua Na Jaribio La Bomu.