Wawekezaji Walalamikia Shugli Ya Ugawaji Ploti Kayole
2021-09-26 19 Dailymotion
Wawekezaji Wa Nyama Villa Katika Maeneo Ya Kayole Wamelalamikia Jinsi Ugawaji Wa Ploti Walizonunua Mwaka 2018 Unavyoendeshwa.Kulingana Na Baadhi Yao, Wamelazimika Kulipa Mara Tano Zaidi Ya Thamani Ya Ploti Hiyo.