Wakenya Tayari Wametoa Hisia Zao Kuhusu Kuondolewa Kwa Amri Ya Kafyu Huku Wengi Tuliongea Nao Wakieleza Kufurahushwa Na Amri Ya Rais Kenyatta. Wanasema Kuwa Amri Ya Kafyu Ilikua Imewakaba Kooni