Surprise Me!

Nick Mwendwa Amewachiliwa Kwa Dhamana Ya Shilingi Milioni 10 Au Bondi Ya Milioni 15

2021-11-30 3 Dailymotion

Rais Wa Shirikisho La Soka Nchini Nick Mwendwa Amewachiliwa Kwa Dhamana Ya Shilingi Milioni 10 Ama Bondi Ya Milioni 15 Na Wadhamini Wawili.Mwendwa Hii Leo Alifikishwa Katika Mahakama Ya Milimani Mbele Ya Hakimu Eunice Nyutu Kujibu Mashataka Ya Madai Mbalimbali Yakiwemo Kupatikana Na Mali Ya Umma Kinyume Cha Sheria.