Watu 4 Wafariki Baada Ya Kugbugia Pombe Haramu Nakuru
2021-12-06 3 Dailymotion
Watu Wanne Wamefariki Baada Ya Kunywa Pombe Haramu Katika Kijiji Cha Jawatho Huko Njoro Kaunti Ya Nakuru. Maafa Haya Yamejiri Miezi Kadhaa Baada Ya Watu Wengine 30 Kufariki Baada Ya Kubugia Pombe Yenye Sumu Katika Eneo Hilo.