Surprise Me!

Maombi Ya Machafuko Kerio Valley Wakaazi Wamesema Kufikia Sasa Maombi Ndio Suluhu Mwafaka

2021-12-25 16 Dailymotion

Wakaazi Wa Kerio Valley Walikongamana Kuombea Familia Za Wale Ambao Wamepoteza Wapendwa Wao Kufuatia Ongezeko La Visa Vya Utovu Wa Usalama
Wakaazi Hao Wamesema Kuwa Maombi Ndio Suluhu Mwafaka. Vile Vile Wamevitaka Vitengo Vya Usalama Kukita Kambi Eneo Hilo Na Kuwakamata Wale Ambao Wanahusika Na Mashambulizi.