Surprise Me!

Mlaghai Wa Riadha Mahakamani Eldoret

2022-11-28 2 Dailymotion

Mwanaume Mmoja Mwenye Uraia Wa Kenya Na Uganda Hii Leo Alifikishwa Mahakamani Mjini Eldoret, Kaunti Ya Uasin Gishu, Na Kushtakiwa Kwa Madai Kujifanya Afisa Kutoka Shirika La Kupambana Na Marufuku Humu Nchini Adak Na Kuwalaghai Wanariadha.