Taasisi Na Washikadau Mbali Mbali Wamehimizwa Kuja Pamoja Katika Vita Dhidi Ya Mlipuko Wa Ugonjwa Wa Kipindu Pindu Ambao Umenyakua Maisha Ya Watu Wanne Kaunti Ya Garissa. Idadi Jumla Ya Maambukizi Kaunti Hiyo Ni 372 Kufikia Novemba 27 Vingi Vya Visa Hivyo Vimeripotiwa Katika Kambi Ya Wakimbizi Ya Dadaab.